Arusha International Conference Centre

Arusha International Conference Centre

Share

Looking for a meeting venue? Welcome to AICC located at the heart of Africa, midway between Cairo and Capetown.

The perfect venue for your meetings with abundant natural attractions around, the Centre accommodates up to 1,350 delegates.

Photos from Arusha International Conference Centre's post 31/05/2026

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Balozi Dkt. Jilly Maleko ameshiriki na kushuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa AICC Bi. Christine Mwakatobe akitunukiwa Tuzo ya Diplomasia ya Uchumi Sekta ya Utalii wakati wa hafla ya kuwatambua Malkia wa Nguvu 2026 Kanda ya Kaskazini.

Hafla hii iliyohusisha wanawake wengi waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali ilifanyika katika Ukumbi wa Lake Nyasa uliopo AICC jijini Arusha.

31/05/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Bi. Christine Mwakatobe leo 30.05. 2026 ametunukiwa Tuzo ya Diplomasia ya Uchumi Sekta ya Utalii wakati wa hafla ya kuwatambua Malkia wa Nguvu 2026 Kanda ya Kaskazini iliyofanyika katika Ukumbi wa Lake Nyasa uliopo AICC jijini Arusha.

Hafla hiyo imeandaliwa na Clouds Media Group (CMG) katika mwendelezo wa kutambua wanawake wenye mchango wa kipekee katika jamii.

Malkia wa Nguvu Christine Mwakatobe alisindikizwa na Malkia wengine ambao ni Wafayakazi wa Kituo k**a wanavyoonekana kwenye picha za matukio.

Photos from Arusha International Conference Centre's post 30/05/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Bi. Christine Mwakatobe leo 30.05. 2026 ametunukiwa Tuzo ya Diplomasia ya Uchumi Sekta ya Utalii wakati wa hafla ya kuwatambua Malkia wa Nguvu 2026 Kanda ya Kaskazini iliyofanyika katika Ukumbi wa Lake Nyasa uliopo AICC jijini Arusha.

Hafla hiyo imeandaliwa na Clouds Media Group (CMG) katika mwendelezo wa kutambua wanawake wenye mchango wa kipekee katika jamii.

Malkia wa Nguvu Christine Mwakatobe alisindikizwa na Malkia wengine ambao ni Wafayakazi wa Kituo k**a wanavyoonekana kwenye picha za matukio.

Photos from Arusha International Conference Centre's post 28/05/2026

📍Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Mei 28, 2026 amefungua Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yaliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

27/05/2026

Photos from Arusha International Conference Centre's post 24/05/2026

📍Dar es Salaam
Jumuiya ya Kidiplomasia Tanzania imekutana katika hafla maalum ya kwanza ya ‘Africa Day Swahili Brunch’ iliyolenga kuuenzi utamaduni wa Kiswahili pamoja na kuimarisha diplomasia, urafiki na ushirikiano kati ya mataifa mbalimbali yenye uwakilishi Tanzania.

Akizungumza katika hafla hiyo Mhe. Kombo amesema Tanzania ni taifa lenye utajiri mkubwa wa tamaduni mbalimbali, huku akibainisha kuwa utambulisho wa Mtanzania umejengwa katika misingi ya umoja, mshik**ano na kuheshimu mila na desturi za Kiafrika ikiwemo chakula, mavazi, mapambo, lugha ya Kiswahili na muziki wa kitanzania.

Wakati wa hafla hiyo, Wenza wa Mabalozi walifurahia vyakula vya asili vya Kiswahili, walishiriki katika uchoraji wa jadi wa chetezo, michezo ya asili ikiwemo bao na karata, uchoraji wa hina (henna), na utengenezaji wa mapambo ya jadi ya Kiswahili k**a bangili za shanga, huku wakishuhudia maonesho ya mavazi yaliyoakisi urithi wa utamaduni wa Tanzania na kufurahia burudani ya muziki wa Kitanzania ikiwemo Singeli.

24/05/2026

📍Dar es Salaam
Sundays are for brunch.
We are ready for the Swahili Brunch

swahilibrunch

22/05/2026

Photos from Arusha International Conference Centre's post 21/05/2026

The Arusha International Conference Centre (AICC) is participating in the prestigious IMEX Frankfurt exhibition taking place at Messe Frankfurt, Germany, where global leaders in the Meetings, Incentives, Conferences and Exhibitions (MICE) industry have gathered to showcase innovations, destinations, and strategic partnerships shaping the future of international business events. AICC’s participation reflects Tanzania’s growing influence in the global MICE market and its commitment to positioning the country as a leading conference and tourism destination in Africa.
Leading the delegation, the Managing Director of AICC Ms. Christine Mwakatobe is engaging with international stakeholders, investors, event organizers, and tourism professionals to promote the Centre’s world-class conference facilities and Tanzania’s unique tourism attractions. Through strategic networking and business-to-business engagements, the Managing Director is highlighting AICC’s role in advancing professional conference services, sustainable tourism, and regional economic growth while showcasing the Centre’s capability to host high-profile international events.
The participation at IMEX Frankfurt further demonstrates AICC’s vision of frontlining the MICE industry in Africa by strengthening global partnerships and enhancing Tanzania’s competitiveness in the international events market. As one of Africa’s premier conference institutions, AICC continues to champion innovation, excellence, and destination marketing, reinforcing Tanzania’s reputation as a preferred hub for global meetings and conventions.

Want your business to be the top-listed Event Planning Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


East African Community Bvd
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 22:00