MTBC Ministries

MTBC Ministries

Share

This is a born again church located in Moshi Tanzania, with the aim of winning lost souls for Christ and bring delivarance and revelation to the nations

11/10/2026

UMEENDA KANISANI LEO????
KARIBU KATIKA IBADA YA KISWAHILI
TUKO MUBASHARA YOUTUBE (MTBC MINISTRIES)

Photos from MTBC Ministries's post 11/10/2026

TUNASHUKURU KWA KUABUDU PAMOJA NASI.
UNAWEZA KUTUFUATILIA YOUTUBE (MTBC MINISTRY) NA PIA FOUNTAIN RADIO 89.7 SAA TATU USIKU JUMAPILI KWA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU. TUNAKUKARIBISHA KATIKA IBADA ZA KATI YA WIKI (JUMATANO NA IJUMAA SAA 11 JIONI) HAPA KANISA LA MTBC KWA ALFONSI.

11/10/2026

KARIBU KATIKA IBADA YA KISWAHILI
TUKO MUBASHARA YOUTUBE (MTBC MINISTRIES)

10/10/2026

INUKA TWENDEπŸ™

Photos from MTBC Ministries's post 07/10/2026

πŸ“– NGUVU YA MADHABAHU

Je, unajua kuwa maisha yako, huduma, biashara, au familia yako inaweza kuwa inatawaliwa na madhabahu usiyoijua?

Ni wakati wa kusimika madhabahu ya Kristo na kuvunja kila nguvu za giza na madhabahu za giza. Katika ulimwengu huu, hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya; mambo huongozwa na ulimwengu wa roho.

Kila mafanikio au mkwamo katika maisha ya mwanadamu huwa una chanzo chake kwenye ulimwengu wa roho na hasa madhabahu.

Kitabu hiki kilicho andikwa na Askofu Dickson Mtalitinya ni mwaliko wa kuelewa siri za madhabahu na nguvu zake katika maisha yako. πŸ”₯πŸ™

PIGA 0715822304 KUPATA NAKALA YAKO SASA

Photos from MTBC Ministries's post 04/10/2026

04/10/2026

SOMO: INUKA TWENDE PART 4
YOUTUBE: MTBC MINISTRIES

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kilimanjaro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Kiboriloni, Moshi
Kilimanjaro
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTBC Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Kilimanjaro.