DRAC unit

DRAC unit

Share

Funny page 😂😂

25/11/2024

🟥 Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake 😂

"Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo" Sead Ramovic

25/11/2024

🟥 Unaambiwa kocha mpya wa YYoung Africans Sports Clubni kocha pekee kwenye ligi ya NBC ambaye anaweza kucheza nafasi yoyote dimbani....

FFollowers

Want your business to be the top-listed Media Company in Kyela?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mbeya
Kyela